Hadi wewe Ali Kiba hii ni aibu na fedha

Status
Not open for further replies.

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa kupata show umekupelekea ukubali show ya Leo jangwani au je ndo unati sharti la ruge usipo support ccm nyimbo zko hazipigwi clouds nilikuwa nakuona mwenywe busara king kiba kumbe n we n wale wale vichwa maji km wale wasanii wanaopost ccm kwny insta zao
Cc pwilo Shardcole kwann kiba katu saliti
 
Last edited by a moderator:

daah hadi kiba
 
Last edited by a moderator:
Haya mkuye na hukuuu...tuacheni double standards, haya wale wa kuacha kumshabikia mkuyee, mkuye wale wachambuzi wa kisiasa...

Afu we naniliu una bahati siijui ID yako ningekutag...hahahaaa
 
OMG! Sitaki kuamini kama hili linakwenda kutokea.
Leo sikuwa na mpango wa kuangalia huo mkutano ila itabidi nipunguze muda wa mitoko yangu niangalie.
Nitasikitika sana, tena sana.
Nitaangalia na uzito wa suala, huenda na mimi nikatoa TAMKO kali!

Mmmmmmmh....
Mimi nmeshamdelete na kumunfollow domo-kaya...
Nasubiri tamko lako
 
Waacheni wazivune hela,,
Kutumbuiza ni kazi yao,
Kwani cdm mmeshindwa kuwatumia?

Lakini mbona El mwenyewe kwenyekutano wa kutia nia aliwaalika wasanii kibao,,,,
Au shida ipo kwa Kiba na Diamond tu?

Acheni watoto wapige hela.
 

We Kendrick ni kweli? Mbona sijaona akiandika sehemu umezitoa wp izo habari
 
Last edited by a moderator:
Haya mkuye na hukuuu...tuacheni double standards, haya wale wa kuacha kumshabikia mkuyee, mkuye wale wachambuzi wa kisiasa...

Afu we naniliu una bahati siijui ID yako ningekutag...hahahaaa
Siamini mpaka nimuone Live!Khaaa sio Ally kiba
 
Kama mdau wa mabadiliko hili limenikera sana.
Nalog out!

Yani wasanii wanainfluence kubwa saana, na kwa akili za kitanzania wengi wameshikiwa akili na watu kama na wakima wema soo watawanyaka wengi saana....
 
Yani wasanii wanainfluence kubwa saana, na kwa akili za kitanzania wengi wameshikiwa akili na watu kama na wakima wema soo watawanyaka wengi saana....

Subiri tuone, akitokea tutajadili.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…