Haya mkuye na hukuuu...tuacheni double standards, haya wale wa kuacha kumshabikia mkuyee, mkuye wale wachambuzi wa kisiasa...
Afu we naniliu una bahati siijui ID yako ningekutag...hahahaaa
Jamani kwani wao hawana uhuru kuchagua wakitakacho?
OMG! Sitaki kuamini kama hili linakwenda kutokea.
Leo sikuwa na mpango wa kuangalia huo mkutano ila itabidi nipunguze muda wa mitoko yangu niangalie.
Nitasikitika sana, tena sana.
Nitaangalia na uzito wa suala, huenda na mimi nikatoa TAMKO kali!
Nimesikitishwa Sana kusikia king kiba nae atakuwemo kwny kampeni za ccm kwann umewafanyia ivyo mashabiki zko je ni na ww unadhiki km wale wasanii wenzako je ni tamaa ya fedha au ndo uhaba wa kupata show umekupelekea ukubali show ya Leo jangwani au je ndo unati sharti la ruge usipo support ccm nyimbo zko hazipigwi clouds nilikuwa nakuona mwenywe busara king kiba kumbe n we n wale wale vichwa maji km wale wasanii wanaopost ccm kwny insta zao
Cc pwilo Shardcole kwann kiba katu saliti
Haya mkuye na hukuuu...tuacheni double standards, haya wale wa kuacha kumshabikia mkuyee, mkuye wale wachambuzi wa kisiasa...
Afu we naniliu una bahati siijui ID yako ningekutag...hahahaaa
Haya mkuye na hukuuu...tuacheni double standards, haya wale wa kuacha kumshabikia mkuyee, mkuye wale wachambuzi wa kisiasa...
Afu we naniliu una bahati siijui ID yako ningekutag...hahahaaa
Mkuu mwambie baba tifah alipe deni la marehemu c kalipwa n ccm kupiga kampeni y viuno jukwaani
Deni gani mkuu nimsaidie hata 45%
Hawa wasanii maisha yao showoff nyingi sana ila chini y carpet kuna mengi....deni la marehemu alipe ndio aendelee n kampeni mana atakua amepata pesa