Elections 2010 Hadija Kopa amtukana Slaa!!

mapambazuko

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
23
Reaction score
1
kama mh kinanana leo anamalalamikia mgombea kiti cha ubunge wa chadema kupitia jimbo la temeke kuwa jana katika hotuba yake alimkashifu mh rais kikwete je, leo kwa masikio yangu nilikuwepo mwembe yanga hadija kopa anasema hivi dr slaa kaanguka choo cha hoteli kaumia je akiingia choo cha ikulu akaanguka siatakufa je haya si matusi au kashifa na chadema waanze kuitisha press kulalamikia haya wadau mnasemaje? kumbuka wakati huo yuko jukwaani anatoa burudani:A S-baby:
 
Huyu ni vuvuzela kachoka sana , lazima tumsamehe, kwa sababu kipo kitu kidogo alichopewa. lakini ni watuhatari sana kwa sababu wanasahau shida kwa vijifedha kidogo sana na kuanza kutumika kama bablish ambayo baadaye itatemwa na kusahaulika.
Watu wa aina hii jamani badilikeni hasa wasanii. sasa hivi wasanii Channel 5 wametoa rai ya aina hii,

TUFIKIRIE MAISHA YA MIAKA MITANO
 
hadija kopa ni chakula cha jeykey kwa taarifa yako kwa hiyo hata sishangai shangingi huyu anapotoa haya maneno asiwatishe maana ye mwenyewe ni bidhaa inatafuta soko kwa hali na mali mpasipo mafanikio,bidhaa yenyewe haina quality wala mvuto imechoooka kila bei inaingia pale hata sh 100
 
Pole yake huyu mbibi maana kadanganywa kuwa atapewa kitu fulani na hatapewa.
Watu wote wapewe hata yeye!!
 
Hivi huyu c ndo yule mwimba taarabu? Ni debe tupu huyo achaneni naye najua anatafuta viti maalum!
 
Fataki wa kike yule!ana mme wa 3 sasa kijana mdogo!
 
Mmmh, hadi habari za wacheza taarabu na zenyewe ni issue ya kujadili? Hivi Hadija Kopa ni nani katika nchi hii? Mpuuzeni tu, mtu wa mipasho huyu ana lipi jipya?
 
I love JF maana mwajua namna ya kumpuuza mtu.
lol:bowl:
 
Kwanza mimi sioni alichokosea mbunge wa chadema. Methali inasema asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Mama ni binadamu na ana mapungufu. Mimi ni mama na nina mapungufu yangu. Sasa kama hakusikia somo au somo halikupigwa basi watanzania tutamsaidia kumfunza. Maana kulea watoto ni jukumu la jamii nzima sio!!!!!!!!!!!!!????? tehetehetehet! Watajibeba.
 
Hahahaha! Hadija Kopa yule wa taarabu au mwingine! ndio CCM ya leo hiyo, huwezi amini chama alichokiasisi Mwl Nyerere kimeporomoka namna hii, duh poleni wana CCM maana chama kinatia kichefuchefu hasa. Nyerere asingeweza kuruhusu watu wa namna hii kupanda jukwaani
 
Kuna watu wa kusumbuka nao lakini sio mama Kopa!mwacheni aimbe taarabu zake! Eisssh!:A S 100:
 
hadja kopa? hana hadhi ya sisi kumjadili. yeye anawaza ngono. akisikia mtu alianguka guest/lodging/ hotel anawaza ngono tu, kwake hoteli ni mahali pa ngono. ataendel,ea kuwastaheresha akina jk na lowasa wakati siye tunasonga mbele
leo nilikuwa jimbo la vinjo kwa jinsi mambo yalivyo ccm wanahemia icu
 
tabia za hili jimama kinena, makamba, salma k na mumewe, riz, dokii, marlaw, ngawaiya, mrema wa tie li piii, kibonde...nk hazina tofauti yeyote ni za kishangingi tu.
 
JAmani hivi kwa nini NASMA aliwahi kuondoka? ona mwenzake kakosa wa kumtupia vijembe amehamia kwa dr SLAA. pole mama najua unatafuta chakula lakini angalia maana na wewe utaliwa?
 
Huyo nae makopa tu kwani nini? Halafu hawa wasanii wetu wengine, wanaimba hivi hala wanafanye/amini/kampaign vingine. Hizi tape zao itabidi tusiwe tnazinunu maana wako kama vinyonga
 
Khadija Kopa, Khaaa!!!!!!!



Kweli wewe ni LI-SANAMU LA MICHELIN
 

Asee huyu mkwere kweli kumbakumba! hata huu mzoga pia anakula!? Too much sasa
 
Kuna mwenye cv ya Hadija Kopa? Ni kumsamehe bure tu alinde unga wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…