hivi jeikei analalama saana ametukanwa tusi gani???Kwani huyo slaa katukanwa tusi gani hasa?
Kuna mwenye cv ya Hadija Kopa? Ni kumsamehe bure tu alinde unga wake.
birth date :not recorded
birth place: found in the pit latrine
education : madrassa al nuur, jambiani
experience: 40yrs singing taarab in bars
2months rescuing Jaeykey from pitfall
Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!
Kwa kuwa CCM inamiliki polisi, basi ikitokea wapinzani wawatukana wagombea wao basi hukamatwa mara moja, lakini wanapotukanwa wa upinzani hakuna kinachotokea. Ukosefu wa haki ndiyo huchochea hasira dhidi ya chama tawala.
Huyu hasbandi kaoa au kaolewa, hivi kweli kakosa kote katua kwa huyu jimama?
Huyu hasbandi kaoa au kaolewa, hivi kweli kakosa kote katua kwa huyu jimama?
Mkuu bado unamsikiliza tuuu haaaaa mi thamani yake imeshuka hata hiyo redio siisikilizi tena!Mchaka Mchaka, umegusa moyo wangu mkuu.....huyu mtu anaitwa Kibonde amekuwa mjinga kupita maelezo...Nadhani tunapaswa kutengeneza maada maalum kwa ajili ya huyu mtu, na soon tuanze kampeni juu ya kutokusikiliza hiyo radio ya mashoga.....i am no long interested na hiyo Upuuzi FM.
hivi nyinyi ni ma tigo nini??? Yaani mmekaa kiumbea umbea tu!!! Sasa sera zimewaishia? Mumefanya issue ya hadija kopa kuwa ndo sera zenu?
Munalalamika tuuuu! Mbona yule mgombea wenu wa chadema pale Temeke nae kamtukana Mheshimiwa Rais wa jamhuri ya Muungano matusi ya nguoni? Sasa si ni jino kwa jino?
Munamdhalilisha Rais wa tanzania kwa kumpakazia kuwa Hadija Kopa ni hawara wake!! Lakini nyinyi mukiambiwa Slaa kanyakuwa mke wa mtu na kulala nae guest huko mwanza mpaka mungu akamuadhiri kwa kumvunja mkono bafuni munalia!!!
Hata kama nyinyi ni wapinzani wa JK si utamaduni wetu wa TZ kumtukana Rais alieko madarakani na kumvunjia heshima maana mila na desturi zetu haziruhusu matusi!!!
Sasa madhali JF mumeshaanza pia kuwatusi akina Mama wa Tanzania basi muwe tayari kukubali matusi yetu na kura tutampa kiongozi mwenye heshima alie na mke wa halali na wala sio mke wa kuokoteza!!!