Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Kuna mwenye cv ya Hadija Kopa? Ni kumsamehe bure tu alinde unga wake.
birth date :not recorded
birth place: found in the pit latrine
education : madrassa al nuur, jambiani
experience: 40yrs singing taarab in bars
2months rescuing Jaeykey from pitfall
Kwani huyo slaa katukanwa tusi gani hasa?
Hilo shangingi kiboko yake alikuwa marehemu Bi SALMA mbona alitamani kuacha taarabu kwani bibie alimnyoosha na kumnyausha hasaaaaaaMmmh, hadi habari za wacheza taarabu na zenyewe ni issue ya kujadili? Hivi Hadija Kopa ni nani katika nchi hii? Mpuuzeni tu, mtu wa mipasho huyu ana lipi jipya?