Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Yunge kamuua Mzee Buhabi
Yunge kamuua Nzehe
Yunge kamuua Tatu
Yunge kamuua Yunge mdogo.
Kabaki Yunge na bibi na wachawi wengine kijijini.
www.jamiiforums.com
Yunge kamuua Nzehe
Yunge kamuua Tatu
Yunge kamuua Yunge mdogo.
Kabaki Yunge na bibi na wachawi wengine kijijini.
True story: Babu yangu kama mshikaji wangu
Wana jamvi leo nawaletea stori ya maisha niliyopitia, harakati za maisha, mapenzi, uonevu fitina na uchawi vyote utavipata hapa, ni true stori, lakini majini ya vijiji na watu nitabadilsha kwa ajili ya usalama wangu, karibuni.