Hadithi fupi kuliko zote: Alaumiwe Yunge

Hii hadithi naona ndio hadithi pekee inayoanza kwa kuonyesha majina ya walioshiriki kuandaa na kucheza, kisha neno the end linatokea, movie imeisha
 
hii kitu nilikuwa nairuka tu lakini kwa Andiko hili ngoja nipite na hivi leo kichwa hakipo sawa sana inaweza kunisaidia kuongeza maarifa jinsi ya kukabiliana na mizinga ya michepuko ya Idd!
 
Ha ha ha ha bro umetisha kwa mwendelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…