Hadithi: Utamu wa kutokujipanga Polisewa atapigwa na Jeiwewatezada

Hadithi: Utamu wa kutokujipanga Polisewa atapigwa na Jeiwewatezada

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hii hadithi ni tamu na ya mapenzi.
Kuna mtu mjinga anaitwa Polisewa na mwingine anaitwa Jeiwewatezada. Wote ni wenye nguvu na maarifa, ila tofauti Polisewa ni mjinga na asie na misuli kumzidi Jeiwewatezada mwenye akili, weledi, mpole, mtiifu na mwenye kila aina ya nguvu.

Mpaka sasa Polisewa anajitapa kila siku japo matambo yake yanadhihirisha ujinga wake na Jeiwewatezada amekaa kimya anaangalia watoto wake wanavyoonewa na watoto wa Polisewa. Sasa wote ni wazazi wenye uchungu wa uzazi. Swali ni, je Jeiwewatezada atakubali watoto wake waonewe na watoto wa Polisewa?

Fuatana nami katika hadithi hii.
 
Polisewa walivimbishwa kichwa na utawala wa Mwanajiwe wakajiona wao ndo Jeiwewatezad. Ila tuombee mapenzi yao yarudi maana na sisi huku wakifarakana tutapata madhara.
 
Napenda watu wanaoelewa haraka 🤝🤝🤝🤝🤝🤝
 
Inaendelea....

Wanachichi wanamkubali Sana jeiwewatezada kwasababu ni mpole Ila timbwili lake Kijiji kizima Cha tazamania mtakaa huyu polisewa hapendwi kwasababu ni mjinga hajasoma mfitini mchonganishi na mbambikaji wa mashtaka na Hana nguvu za kumzidi jeiwewatezada.
 
Back
Top Bottom