Nisamehe kaka nilikuwa natania bwana ,usinifanye chochote mkuu wanguTumia mkuu, case officer apa nina ma spy kila kona
Msamehe bure. Amesema anatoka mkoa wa Kagera; na mkoa ule 99.99% ya wakazi wake ni wagonjwa wa Narcistic Personality Disorder.Wewe jamaa kama kweli uko kuala lumpa malysia njoo hapa Citrozone city nikupige viboko huwezi kuwa unasikiliza story za wamama alafu unakuja hapa kulingisha watu .
Mpaka umegundua Hilo itakuwa na wew ulianza na viashiria hvyo hivyo.
Najua upinde lazima mni popoe kwa ilo. Ila meseji sentiWee mwenyewe unaonekana ni wazi shoga, na jina la I'd yako linasadifu, umekuja kuu promote ushoga kwa kutokea pembeni. Lol.