Hadithi za Alfu Lela Ulela

mkuu umerudisha hisia zangu mbali sana heshima kwako mkuu
 
Hivi huyu jamaa ndo alishakimbia
 
Nashindwa zi-upload hapa maana mafaili ni makubwa. Nenda YouTube kuna channel inaitwa Swahili fairy tales utazikuta nyingi za kutosha.Hata kuzidownload unaweza maana kuna apps nyingi za kukuwezesha kupakua video za YouTube mfano Vidmate.
Asante sana kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…