Haelewi

May b ana different boifrends jaman...so jana stori kuhusu mwngne na leo mtu mwingne..halafu freeeeesh...
 
Huyo mshamba anakupotezea muda achana nae.....
 
kwa nini huwa hamjipi muda wa kufahamiana vizuri kabla ya kuingia deep kwenye mahusiano? vitu unavyovizungumza ni basic mno yaani na vilitakiwa kuwekwa sawa kwenye hatua za awali za mahusiano
 

Hapo kwa red ni kwa sababu mambo 'haya' hayako wazi ktk jamii yetu. Hivyo usimshangae bali nenda naye taratibu tu ajifunza over time. Ukitaka kum-change fasta atakuona malaya!
 
Na hata ukiangalia siku ambayo alijiunga na JF ni jana uvumilivu utakuwa hafifu.

jamani itakua alikua anasoma tu post za watu so kajiunga nayeye aweze kupost. Pole dada ushauri wangu ni kwamba mpe muda kama habdiliki mteme. Ila huo muda usimwambie kuwa umempa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…