jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
Katika Mwili wa Binadamu kuna chembe za damu ambazo usaidia mwili kupambana na maambukizi,nje ya umbo la hizo chembe chembe kuna protini na wanga ambayo kitaalamu ndio CD4,kazi yake ni Kama sensor.Nina ndugu yangu mmoja anauguwa ugonjwa huu wa UKIMWI, wiki kama mbili zimepita nilimpeleka kuhudhuria clinic yake.
Tulipofika pale alipewa huduma kama inavyotakiwa lakini katika mazungumzo yao na daktari niliskia akitajiwa Idadi ya CD4 alizokuwa nazo mwili mwake ambapo aliambiwa na CD4 =64.
Sasa ningependa kufahamu, je, hizi CD4, kwanza ni nini? Then huwa nawahesabu vipi na je, kwa kawaida, mtu ambaye haugui UKIMWI huwa na CD4? Pia na mgonjwa wa ukimwi anatakiwa awe na CD4 ngapi mwilini?
Katika Mwili wa Binadamu kuna chembe za damu ambazo usaidia mwili kupambana na maambukizi,nje ya umbo la hizo chembe chembe kuna protini na wanga ambayo kitaalamu ndio CD4,kazi yake ni Kama sensor.
Mtu mwenye afya njema anatakiwa awe na CD4 Kati ya 400-1600cells/mm cube.
Note
Maswali mengine ntakuwa nimeyajibu humo ndani.
CD4 is a glycoprotein found on the surface of immune cells.Mkuu, naomba ufafanuzi hapo katika maelezo yako,CD4 ndio wanga na protini?.Au rudia kulisoma taratibu bandiko lako maana naona kama linachanganya.Tafadhali.