Hafidhi salehe inatosha kuwepo yanga

Hafidhi salehe inatosha kuwepo yanga

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
Huyo ndio kikwazo cha yanga kushindwa washsbiki hawajui wanamuona kama malaika wa yanga
Wache muendelee hivyohivyo
Screenshot_20190910-075150.jpeg
 
Naona saivi kila mtu mnamtafuta aonekane mbaya.
 
Simba ndo wanapata shida zaidi na viongozi wa Yanga.Mtuache na Yanga yetu
 
Kabla hata uzi haujafunguka nilijua utakuwa unamuongelea huyu Jamaa .yaan mtu umemuona Leo Leo halafu unamkosoa
 
Back
Top Bottom