Hafla ya Gofu NBC Lugalo Open 2023

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema Serikali kwa kushirikiana na Wadau itahakikisha inapaza sauti kuhusu mchezo wa Gofu ili umma upate uelewa kuhusu umuhimu wa mchezo huo Kitaifa na Kimataifa.

Amesema hayo Machi 26, 2023 Dar es Salaam katika hafla ya Gofu NBC Lugalo Open 2023.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…