Hafla ya kukabidhi Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga.

Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo ilikuwa ni ahadi baada ya kuichakaza Yanga SC goli 3-1.​

Soma Pia:
Screenshot 2024-11-14 084920.png

ila tabora kiboko sana, naombea timu zingine ziendelee kuwafunga hawa simba na yanga ili tuendelee kupata vituko zaidi na zaidi tufurahi tuongezee siku za furaha maishani mwetu 😛
 
Ujinga mtupu! Wenzenu Ihefu walishuka mpaka daraja kwa sababu tu ya kuendekeza huu upuuzi wa kuikamia Yanga. Muwe mnatoa hiyo milioni 20 kwa kuzifunga timu zote. Na siyo kwa kuikamia timu moja pekee Mbwa nyinyi.
 
Ihefu imenunuliwa na mwanachama mwenzenu Mr. Tozo
 
Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga.

Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo ilikuwa ni ahadi baada ya kuichakaza Yanga SC goli 3-1.​

Soma Pia:
Waweke lipa namba tuwarushie hata laki laki
 
Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga.

Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo ilikuwa ni ahadi baada ya kuichakaza Yanga SC goli 3-1.​

Soma Pia:
sawa wamekomaa sana hawajabadika mabango ya 3:1 hawana ulimbukeni kama wa yanga
 
Kuifunga Yanga si mchezo! utadhani ndiyo wameshachukua ubingwa wa Ligi 🙂🙂🙂
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC. View attachment 3152491
Sisi ndiyo Yanga SC AKA

Manyani na Mammbwa SC
Sindano dawa za kuongeza nguvu SC
Jini Maimuna SC
Hamisa Mobeto Buzi la Aziz Ki SC
Mihadarati SC
Wavuta Shisha SC
Nyuki Asali SC
Mpumelelo pumuuuuu SC
Wachawi SC
Watembea uchi usiku kwenye viwanja SC
Wacheza Vigodoro SC.
Wagombaniwa na maraya SC
Kimoko cha chamazi SC
Wakimbizi kwenye viwanja vya watu SC
CCTV CAMERA SC
Uto de Supu la Ngo'mbe SC

images.jpg
 
Ujinga mtupu! Wenzenu Ihefu walishuka mpaka daraja kwa sababu tu ya kuendekeza huu upuuzi wa kuikamia Yanga. Muwe mnatoa hiyo milioni 20 kwa kuzifunga timu zote. Na siyo kwa kuikamia timu moja pekee Mbwa nyinyi.
Ihefu haijashuka daraja bali ilibadili jina. Ihefu ilikuwa inanipa ugonjwa wa moyo sana wakati Yanga ikienda kwenye mashamba yao ya mpunga.
 
Ujinga mtupu! Wenzenu Ihefu walishuka mpaka daraja kwa sababu tu ya kuendekeza huu upuuzi wa kuikamia Yanga. Muwe mnatoa hiyo milioni 20 kwa kuzifunga timu zote. Na siyo kwa kuikamia timu moja pekee Mbwa nyinyi.
Muigulu nchemba yupo mbioni kuinunua pia!
 
Ikija kufungwa na Yanga itakuja kufanya hafla ya kuzirudisha Tena hizo fedha?
 
Tanganyika tuko kama tunarudi nyuma kifikira badala ya kwenda mbele!
 
Ujinga mtupu! Wenzenu Ihefu walishuka mpaka daraja kwa sababu tu ya kuendekeza huu upuuzi wa kuikamia Yanga. Muwe mnatoa hiyo milioni 20 kwa kuzifunga timu zote. Na siyo kwa kuikamia timu moja pekee Mbwa nyinyi.
Pole
 
Back
Top Bottom