Kwa maoni yangu, ukisoma malalamiko ya wadau wa habari yaliyosababisha wafungue kesi kwenye mahakama ya EAC na hukumu iliyotolewa na maelekezo ya mahakama kwa serikali ya Tanzania na ambacho Tanzania imekifanya so far, hapo ndipo utakapoona whether serikali iko serious kuhusu uhuru wa vyombo vya habari au la. Itafuteni hiyo hukumu muisome (iko online) na muone serikali imefanya nini. Then, judge for yourselves.