JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni Mashuhuri wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau ambaye alikuwa Mgeni Rasmi
Msimu huu, Maandiko yalihusu 'Tanzania Tuitakayo' yakilenga kupokea maboresho ya nchi yetu kwa kipindi cha Miaka 5 hadi 25 ijayo.