Hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Your browser is not able to display this video.

Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni Mashuhuri wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau ambaye alikuwa Mgeni Rasmi

Msimu huu, Maandiko yalihusu 'Tanzania Tuitakayo' yakilenga kupokea maboresho ya nchi yetu kwa kipindi cha Miaka 5 hadi 25 ijayo.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…