Hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika kiwanja cha Simba sports club kuanza Muda sio mrefu

ZionGate

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
6,362
Reaction score
2,991
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe leo ataweka jiwe la msingi uwanja wa klabu ya Simba ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Hafla hiyo inatarajiwa kuanza saa nne asubuhi

Uongozi wa klabu ya Simba umewataka wapenzi, mashabiki na wanachama wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia tukio hilo la kihistoria

IGA UFE
 
Samahani mkandarasi wa ujenzi wa huo uwanja ni kampuni gani?
 
Hata updates hamna ? Uzushi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…