Hahaa Ngoja waje

Kuna wanaoenda kanisani wana wachumba tayari,wengine walishaolewa

Acheni dhana hiyo kwamba Kila anayeenda kanisani Basi anasaka mwanaume
 
Mmesema wake wema ni wacha Mungu, kwa vile hatutaki kuwa singo maza basi tunajiimarisha kufanya ibada.
Na la zaidi, tusipoolewa wala kuzaa mnatunanga vile vile. Acha tukeshe tukiomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…