Hahaa Ngoja waje

Inamaana hao white girls wote wanarusha ndege, whitegirls hawaendi kanisani? African girls wote wanaenda kanisani kutafuta waume? Hakuna African women wanaofanya vitu vya maana kiasi cha kuona hili kundi la kanisani pekee?

Utani mwingine wa kujidhalilisha sie wenyewe kama watu weusi.

Isiwe tabu, wewe ukitaka mke, nenda airport kajichagulie rubani. Tuachie sie wanawake wetu waende kanisani.
 
Huku huku kanisani ndio tunakutana na plane zetu. Just chilax, hatujakosea mahesabu.
 

Aiseee!!
 
[emoji23][emoji23]

Una utani wa ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…