Hahaaaaa!! Ebu tazama hii video uvunje mbavu kidogo..

Nimetazama, mbavu hazijavunjika
aaaah wewe una matatizo ; kama si ya misuli ya kucheka haifanyi kazi basi addrenalin yako haitoshi, kula zaidi nyama nyekundu
 
aaaah wewe una matatizo ; kama si ya misuli ya kucheka haifanyi kazi basi addrenalin yako haitoshi, kula zaidi nyama nyekundu
teh teh teh
Labda nitakua nina stress za Magufuli kuninyima ukuu wa mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…