Hahaha em pita hapa aseee

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hujaelewa nini? Abraham alitakiwa amchinje Isack lakini akaokolewa na Mungu... Sasa njia Abraham huyo huyo akamwambia Isack kwamba anampenda... Unategemea majibu yake yawe ya namna gani? Utasemaje unampenda mtu uliyetaka kumchinja?

Umeelewa?
Hapo nimekupata
 
hahahaha yan tena todays Isaac jibu linalomfaa Abraham ni acha ungese dingi achana na mimi
 
Zamani kule walikuwa wanatoa watoto kafara,
leo hii ,hii imani inazidi kukua kwa kasi sana,inaitwa Luciferian.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…