Hahaha kumbe ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki

Hahaha kumbe ni jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki

Mp4real

Senior Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
141
Reaction score
147
Jamani mpooo..?

Huku kujifanya ujuaji kwa kuona pasipo kujiulizaa,kaazi kweli,mm nimehitimu mmu, Arusha.

Mara ya kwanza kuingia humu nikakutana na neno wana MMU, mi nkajua moja kwa moja ni kifupi cha mount meru university na nkahisi kuwa mmu ni group tu lililopo jamii, kwa hiyo watu wamejiunga kwa lengo la kushauriana kuhusu mapenzi.

Na zaidi nikajua wengi wanatokea chuo hiki, ndivyo nlivyoelewa tangu najiunga, hahahahaha! Sina kawaida ya kuja humu daily lakini leo nilikuwa humu kitambo kusoma mada za watu na coments za wadau, ndipo jioni hii nikajikita ktk swali hili, ndipo nagundua leo kuwa kumbe MMU ni mahusiano, Mapenzi,Urafiki, hahahahaha,nimejicheka sana kwa uzembe huu, karibuni mnicheke hahahaha!
 
[h=3]Re: Hodi Jamani[/h]Kumbe ulipiga hodi usikokujua kazi kweli kweli...............................................
 
Jamani mpooo..?

Huku kujifanya ujuaji kwa kuona pasipo kujiulizaa,kaazi kweli,mm nimehitimu mmu,arusha.

Mara ya kwanza kuingia humu nkakutana na neno wana MMU,mi nkajua moja kwa moja ni kifupi cha mount meru university,na nkahisi kuwa mmu ni group tu lililopo jamii,kwa hiyo watu wamejiunga kwa lengo la kushauriana kuhusu mapenzi.

Na zaidi nkajua wengi wanatokea chuo hiki,ndivyo nlivyoelewa tangu najiunga,hahahahaha!sina kawaida ya kuja humu daily lakini leo nilikuwa humu kitambo kusoma mada za watu,na coments za wadau,ndipo jioni hii nkajikita ktk swali hili,ndipo nagundua leo kuwa kumbe mmu ni mahusiano,Mapenzi,Urafiki, hahahahaha,nimejicheka sana kwa uzembe huu,karibuni mnicheke hahahaha!
Karibu, hakuna atakekucheka

Sana sana watakuambia ungepeleka uzi wako jukwaa la mautani/mavichekesho/kuvunjana mbavu n.k
 
Mgeni Mwonyesheni Ukarimu (MMU) Karibu mkuu. Karibu sana
 
Yani humu ni zaidi ya United State achana na Mount meru
 
Jamani mpooo..?

Huku kujifanya ujuaji kwa kuona pasipo kujiulizaa,kaazi kweli,mm nimehitimu mmu,arusha.

Mara ya kwanza kuingia humu nkakutana na neno wana MMU,mi nkajua moja kwa moja ni kifupi cha mount meru university,na nkahisi kuwa mmu ni group tu lililopo jamii,kwa hiyo watu wamejiunga kwa lengo la kushauriana kuhusu mapenzi.

Na zaidi nkajua wengi wanatokea chuo hiki,ndivyo nlivyoelewa tangu najiunga,hahahahaha!sina kawaida ya kuja humu daily lakini leo nilikuwa humu kitambo kusoma mada za watu,na coments za wadau,ndipo jioni hii nkajikita ktk swali hili,ndipo nagundua leo kuwa kumbe mmu ni mahusiano,Mapenzi,Urafiki, hahahahaha,nimejicheka sana kwa uzembe huu,karibuni mnicheke hahahaha!

Hiyo ndio shida ya kukariri, yani unawakilisha watanzania wengi tu ambao wanaishi kwa kukariri kama wewe, wengine utawasikia waking'ang'ania chama fulani wakiamini kuwa ndicho kilichowalea, wengine wanasema usiache mbachao kwa mswala upitao.
 
Back
Top Bottom