Mp4real
Senior Member
- Oct 20, 2013
- 141
- 147
Jamani mpooo..?
Huku kujifanya ujuaji kwa kuona pasipo kujiulizaa,kaazi kweli,mm nimehitimu mmu, Arusha.
Mara ya kwanza kuingia humu nikakutana na neno wana MMU, mi nkajua moja kwa moja ni kifupi cha mount meru university na nkahisi kuwa mmu ni group tu lililopo jamii, kwa hiyo watu wamejiunga kwa lengo la kushauriana kuhusu mapenzi.
Na zaidi nikajua wengi wanatokea chuo hiki, ndivyo nlivyoelewa tangu najiunga, hahahahaha! Sina kawaida ya kuja humu daily lakini leo nilikuwa humu kitambo kusoma mada za watu na coments za wadau, ndipo jioni hii nikajikita ktk swali hili, ndipo nagundua leo kuwa kumbe MMU ni mahusiano, Mapenzi,Urafiki, hahahahaha,nimejicheka sana kwa uzembe huu, karibuni mnicheke hahahaha!