HAHAHA.,...wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu

Suplier

Senior Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
110
Reaction score
9
Katika hali ya kufurahisha na kuchekesha pia wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu mmoja baada ya mwingine na kucharazwa viboko walipofikishwa shuleni
hawa ndio aina ya waalimu tunaowata wenye moyo na uchungu kwa kazi yao au mnasemaje wadau?
 
Du! kweli walimu wameamua kwel kwel au ni coz ya kuongezewa mshahara nn naomba wawe na moyo huo huo wa kujituma by tin boy.
 
Du! kweli walimu wameamua kwel kwel au ni coz ya kuongezewa mshahara nn naomba wawe na moyo huo huo wa kujituma by tin boy.

dah leo ilikuwa ni msala nimecheka mwalimu aliongozana na skauti wa shule ilikuwa ucpme
 
acha walimu wawashughulikie hao watoto na kuwarejesha kwenye mstari unaostahili. Enzi zetu mwanafunzi hawezi vaa kata K, muziki atakao kutana nao akienda shule hatasahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…