*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*
SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa MKATABA WA KUPANGISHA PANGO
[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji23]Nilivuta Bangi ... Nikarud Hom Nikamkuta Mama Amekaa nikamuita Nikamuuliza Hivi Ww Si Ndo Yule Demu Unayepikaga Pikaga Hapa Home ..... Sifaham Nini Kilienderea Mpaka naruhusiwa Chumba Cha Watu Mahututi
Nilitamani nikutane nawe Mr Mshana nadhani kuna vitu vingi unavifahamu kumbe hata huku upo ?*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*
SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
[emoji23][emoji23][emoji23]We uza matope[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sisi wa mabondeni huku tayari tunauza Kambale [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Aaaahh! kaliπππ±π±πHakuchora ya mamaake[emoji87][emoji87][emoji87]