Hahahahah kama naiona Simba kweny hatua ya robo fainali

Joined
Dec 23, 2021
Posts
56
Reaction score
228
Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas atasonga mbele
 
Kwasababu ni timu mbili zinapita kila kundi nafasi kwa Simba matumaini yapo.
 
Kila mleta uzi mpya baada ya ratiba ya makundi kutoka ni kama vile Simba ameshapita kwenda robo fainali. Mimi nawaambia kwa msisitizo viongozi na wachezaji wa Simba kuweni makini sana, fanyeni maandalizi ya kutosha na msidharau timu yoyote. Watu wale wale waliowadanganya kuwa Kaizer ni wepesi wameshaanza tena kuwadanganya eti mtapita kwa sababu mmepangiwa timu dhaifu. Pia msisahau kilichowakuta kwa UD Songo na hata juzi juzi tu kwa Galaxy. Katika hatua hii hakuna timu dhaifu.
 
Usiyasanue, unaharibu yaache tena yalale na viatu kama siku ile na makhirikhiri. Najua hayatoboi maana hayana timu haya.
 
Threat kwa simba kwny kundi lake ni asec sc

Berkane wanafungika bila shida kabisa.

Nilifuatilia mechi zake na APR ya RWANDA kwa karibu kwasabu nilibet mechi zake.

Ilikuwa nusura APR iwaaibishe kwao kwa kupata magoli 2 ya jioni sana..dhidi ya goli moja la mapema la wageni.

Hata kwny ligi yao berkane ni wazee droo karibu kila mechi

Tahadhari:Rs berkane sio waaminifu kwny mikeka.
 
Kila mleta uzi mpya baada ya ratiba ya makundi kutoka ni kama vile Simba ameshapita kwenda robo fainali. Mimi nawaambia kwa msisitizo viongozi na wachezaji wa Simba kuweni makini sana, fanyeni maandalizi ya kutosha na msidharau timu yoyote. Watu wale wale waliowadanganya kuwa Kaizer ni wepesi wameshaanza tena kuwadanganya eti mtapita kwa sababu mmepangiwa timu dhaifu. Pia msisahau kilichowakuta kwa UD Songo na hata juzi juzi tu kwa Galaxy. Katika hatua hii hakuna timu dhaifu.
Hahahahaaa, mbona husemi wale kilichowakuta kwa Rivers?
 
Hivi mechi za makundi zinaanza lini?
 
Kila mleta uzi mpya baada ya ratiba ya makundi kutoka ni kama vile Simba ameshapita kwenda robo fainali. Mimi nawaambia kwa msisitizo viongozi na wachezaji wa Simba kuweni makini sana, fanyeni maandalizi ya kutosha na msidharau timu yoyote. Watu wale wale waliowadanganya kuwa Kaizer ni wepesi wameshaanza tena kuwadanganya eti mtapita kwa sababu mmepangiwa timu dhaifu. Pia msisahau kilichowakuta kwa UD Songo na hata juzi juzi tu kwa Galaxy. Katika hatua hii hakuna timu dhaifu.

Katika ujinga waliofanya Simba ni kuwadharau Makirikiri Galax. Matokeo yake;

1. Walitolewa na timu dhaifu sana

2. Wakainajisi rekodi yao wenyewe ya kutofungwa kwenye Iwanja wa Mkapa

3. Wakaichafua rekodi yao CAF ambao walishawapa heshima kua miongoni mwa timu makini ukanda wa Afrika Mashariki
 
Threat kwa simba kwny kundi lake ni asec sc

Berkane wanafungika bila shida kabisa.

Nilifuatilia mechi zake na APR ya RWANDA kwa karibu kwasabu nilibet mechi zake.

Ilikuwa nusura APR iwaaibishe kwao kwa kupata magoli 2 ya jioni sana..dhidi ya goli moja la mapema la wageni.

Hata kwny ligi yao berkane ni wazee droo karibu kila mechi

Tahadhari:Rs berkane sio waaminifu kwny mikeka.
Ilikuwa Simba ile ya kina Chama sio hii ya kina Kibu
 
Simba ya mwaka huu ni tofauti sana na misimu iliyopita sitashangaa akipokea vichapo na kuburuza mkia
 
Threat kwa simba kwny kundi lake ni asec sc

Berkane wanafungika bila shida kabisa.

Nilifuatilia mechi zake na APR ya RWANDA kwa karibu kwasabu nilibet mechi zake.

Ilikuwa nusura APR iwaaibishe kwao kwa kupata magoli 2 ya jioni sana..dhidi ya goli moja la mapema la wageni.

Hata kwny ligi yao berkane ni wazee droo karibu kila mechi

Tahadhari:Rs berkane sio waaminifu kwny mikeka.
Berkane hawahawa ambao wamekua mabingwa wa hilo kombe hivi karibuni tu?
 
Back
Top Bottom