Nipemkono tushindane
Member
- Dec 23, 2021
- 56
- 228
Tuiombee Team Inayoiwakilisha Nchi Yetu Vizuri KimataifaKwasababu ni timu mbili zinapita kila kundi nafasi kwa Simba matumaini yapo.
Usiyasanue, unaharibu yaache tena yalale na viatu kama siku ile na makhirikhiri. Najua hayatoboi maana hayana timu haya.Kila mleta uzi mpya baada ya ratiba ya makundi kutoka ni kama vile Simba ameshapita kwenda robo fainali. Mimi nawaambia kwa msisitizo viongozi na wachezaji wa Simba kuweni makini sana, fanyeni maandalizi ya kutosha na msidharau timu yoyote. Watu wale wale waliowadanganya kuwa Kaizer ni wepesi wameshaanza tena kuwadanganya eti mtapita kwa sababu mmepangiwa timu dhaifu. Pia msisahau kilichowakuta kwa UD Songo na hata juzi juzi tu kwa Galaxy. Katika hatua hii hakuna timu dhaifu.
Wewe mwenye timu unashiriki wapi?Usiyasanue, unaharibu yaache tena yalale na viatu kama siku ile na makhirikhiri. Najua hayatoboi maana hayana timu haya.
Hpo umemtoa ndiko, akijbu ni matusiWewe mwenye timu unashiriki wapi?
Yaan unajipiga dole mchana kweupe
Usiyasanue, unaharibu yaache tena yalale na viatu kama siku ile na makhirikhiri. Najua hayatoboi maana hayana timu haya.
Hahahahaaa, mbona husemi wale kilichowakuta kwa Rivers?Kila mleta uzi mpya baada ya ratiba ya makundi kutoka ni kama vile Simba ameshapita kwenda robo fainali. Mimi nawaambia kwa msisitizo viongozi na wachezaji wa Simba kuweni makini sana, fanyeni maandalizi ya kutosha na msidharau timu yoyote. Watu wale wale waliowadanganya kuwa Kaizer ni wepesi wameshaanza tena kuwadanganya eti mtapita kwa sababu mmepangiwa timu dhaifu. Pia msisahau kilichowakuta kwa UD Songo na hata juzi juzi tu kwa Galaxy. Katika hatua hii hakuna timu dhaifu.
Kila mleta uzi mpya baada ya ratiba ya makundi kutoka ni kama vile Simba ameshapita kwenda robo fainali. Mimi nawaambia kwa msisitizo viongozi na wachezaji wa Simba kuweni makini sana, fanyeni maandalizi ya kutosha na msidharau timu yoyote. Watu wale wale waliowadanganya kuwa Kaizer ni wepesi wameshaanza tena kuwadanganya eti mtapita kwa sababu mmepangiwa timu dhaifu. Pia msisahau kilichowakuta kwa UD Songo na hata juzi juzi tu kwa Galaxy. Katika hatua hii hakuna timu dhaifu.
Ilikuwa Simba ile ya kina Chama sio hii ya kina KibuThreat kwa simba kwny kundi lake ni asec sc
Berkane wanafungika bila shida kabisa.
Nilifuatilia mechi zake na APR ya RWANDA kwa karibu kwasabu nilibet mechi zake.
Ilikuwa nusura APR iwaaibishe kwao kwa kupata magoli 2 ya jioni sana..dhidi ya goli moja la mapema la wageni.
Hata kwny ligi yao berkane ni wazee droo karibu kila mechi
Tahadhari:Rs berkane sio waaminifu kwny mikeka.
Berkane hawahawa ambao wamekua mabingwa wa hilo kombe hivi karibuni tu?Threat kwa simba kwny kundi lake ni asec sc
Berkane wanafungika bila shida kabisa.
Nilifuatilia mechi zake na APR ya RWANDA kwa karibu kwasabu nilibet mechi zake.
Ilikuwa nusura APR iwaaibishe kwao kwa kupata magoli 2 ya jioni sana..dhidi ya goli moja la mapema la wageni.
Hata kwny ligi yao berkane ni wazee droo karibu kila mechi
Tahadhari:Rs berkane sio waaminifu kwny mikeka.