Hahahahahaha

Hahahahahaha

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
Wabongo washapinda hahahaha
Screenshot_20190509-231902.jpeg
 
Hahaha... ila wachaga wa siku hizi chura wanazo bwana .. tena zile ambazo ni matata haswa
 
Huyo wifi alikudanganya. Angekueleza historia kamili. Wanasura nzuri ila wezele mmh sijawahi ona
Mbona mimi nilikuwa na wifi yako ... baba mchaga na mama yake mchaga pia lakini ana shape 1 matata sana ..
 
Huyo wifi alikudanganya. Angekueleza historia kamili. Wanasura nzuri ila wezele mmh sijawahi ona
Niliishi nae takribani miaka mi 3 ...so sirahisi kihivyo kwa yeye kunificha kuhusu asili yake .... Serious yaani
 
Daah kwa jinsi unavyotumia wakati uliopita itakua ni kipindi cha chuo.
Niliishi nae takribani miaka mi 3 ...so sirahisi kihivyo kwa yeye kunificha kuhusu asili yake .... Serious yaani
 
Daah kwa jinsi unavyotumia wakati uliopita itakua ni kipindi cha chuo.
Hahaa Kwa-hiyo Topic imehama ".?... Hapana mkuu sio kipindi hicho "

Chuo nilimaliza miaka mingi iliyopita " Aise
 
Back
Top Bottom