hahahhaaa.YANGA YAPIGWA 2: 0 na POLISI DODOMA

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Mchezo wa kirafiki kati ya polisi ya dodoma(tr22/07) na hawa wapenda misifa yanga aka yebo yebo uliishia kwa yanga kupopolewa 2 kwa nunge. kumbuka yanga wanalizungusha kombe la kagame mikoani na hapa walialikwa dodoma kwenda kuwaonyesha wabunge.
hongera sana polisi dom nawapenda sana na msishie hapa
 
Hahahahahahah
Mtalia sana Simba mwaka huu
Yaani ulitaka Yanga wapoteze nguvu za bure kwa Polisi Dodoma ktk mechi ambayo waliiandaa kama kusherekea Ubingwa??
Hahahahahahaah

Subili Tarehe 13 August uione Yanga halisi.
Pole mtani kwa kuzugika na mechi na Polisi
 
mliidiwa naishaingia kwenye historia tayari hii
 
hata mechi ya kirafiki unaleta umbeya subiri ngao ya hisani(jamii)ucheke tena vizuri
 
Tulizidiwa nini tena Mkuu??
Yaani kweli kwa ujuzi wako wa soka unaipima mechi na Polisi Dodoma ndo kipimo cha Yanga?
Hahahahahahahah
Wasajilini basi wachezaji wote wa Polisi halafu mje Ngao ya Hisani uone shughuli,
Uje na bakuli la Supu
 
hata mechi ya kirafiki unaleta umbeya subiri ngao ya hisani(jamii)ucheke tena vizuri

Mkuu
Hawa wanyama Pori tuwasamehe tu
Kama kawaida yao wanaongea sana, si unaona wamemuweka madarakan mwenyekiti ambaye ni mzuri sana wa kufuatilia kanuni, taratibu na sheria za Wanyama pori, aliendaga bungeni kuomba mwongozo wa Spika kutokana na bao la kichwa cha Asamoah
 
Kubali tu mmepigwa, hamkuona mabingwa wenzenu wa uingereza walivyoisasambua timu ya Ngasa, kama una uwezo una uwezo tu haijalishi mechi ya kirafiki au ya kushangilia ubingwa, angalau polisi wamewaziba mdomo, jana nilishangaa hata vipindi vya michezo hawakusema hiyo.
 
Wenye wivu na wajinyonge,aliwahi kuimba yue dada wa kihaya.
 
[h=2]2: 0[/h]hawa polisi dom wana dhambi kweli kweli .. yaani wamemvua yepo yepo chu** mbele ya wabunge. dah!! lahaula lakwati
 
Kubali tu mmepigwa, hamkuona mabingwa wenzenu wa uingereza walivyoisasambua timu ya Ngasa, kama una uwezo una uwezo tu haijalishi mechi ya kirafiki au ya kushangilia ubingwa, angalau polisi wamewaziba mdomo, jana nilishangaa hata vipindi vya michezo hawakusema hiyo.

Yaani mi nawashangaa sana Simba
Yaani kweli eti mechi na Polisi Dodoma ndio kipimo kwa Yanga??
Man Utd wao walikuwa wanajaribu wachezaji wapya, na wapo USA kwa ziara za mechi mbalimbali.
Yanga wameenda dodoma kwa Mwaliko wa Wabunge wanaoipenda Yanga, hivyo wakaona watoe fursa kwa wakazi wa dodoma pia waone kombe la Yanga la Kagame.

Lakin sina haja ya kuongea saaaana
Makuse na Ivuga tukutane Aug 13
Sisi tunamtaka Mnyama tu, maana ndio teja letu
 
hahaha haha haha, Mkuu kipigo cha polisi kimekuchanganya mpaka unanibatiza jina, hii sio name calling kweli? mimi ni Masuke sio Makuse ile umezingatia herufi zote zipo, tarehe 13 noma tutaenda hadi penati, au kina Asamoah na Kiiza hawana work permit waliogopa kuifunga Polisi wanaweza kuchomewa utambi kwa ndugu zao wa uhamiaji, maana Polisi na Uhamiaji dugu moja.
 
hahah walizidiwa nguvu na kiwangooo\
hawa ndio polisi dom bana
 
hongera sana polisi dom nawapenda sana na msishie hapa[/QUOTE said:
Safi kabisa Polisi Dodoma hakikisheni mnamfunga na Simba pia, msiishie kuwafunga tu hao Yanga.
 
2:0teh teh
Kwa kweli mtani ni lazima muichukie Yanga kwa kuwakosesha ubingwa(wa VPL na wa CECAFA)......Yaani unashangilia Yanga kufungwa na Polisi!!!!!...lol....Btw, matokeo yalikuwa ni Polisi Tanzania 2:1 Yanga na si 2-0 kama ulivyokurupuka
 
Kwanza polisi dom ni maswahba wa yanga,ile game mi niliicheki haikuwa game kama game,subirin 13aug mzungumze!
 
Now you are allowed to release out anything you want, but all at all wait 4ngao ya hisani and you will confirm that dar yanga africa is like bushfire during dry season.
 
Back
Top Bottom