Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mchezo wa kirafiki kati ya polisi ya dodoma(tr22/07) na hawa wapenda misifa yanga aka yebo yebo uliishia kwa yanga kupopolewa 2 kwa nunge. kumbuka yanga wanalizungusha kombe la kagame mikoani na hapa walialikwa dodoma kwenda kuwaonyesha wabunge.
hongera sana polisi dom nawapenda sana na msishie hapa
mliidiwa naishaingia kwenye historia tayari hiiHahahahahahah
Mtalia sana Simba mwaka huu
Yaani ulitaka Yanga wapoteze nguvu za bure kwa Polisi Dodoma ktk mechi ambayo waliiandaa kama kusherekea Ubingwa??
Hahahahahahaah
Subili Tarehe 13 August uione Yanga halisi.
Pole mtani kwa kuzugika na mechi na Polisi
mliidiwa naishaingia kwenye historia tayari hii
hata mechi ya kirafiki unaleta umbeya subiri ngao ya hisani(jamii)ucheke tena vizuri
Kitenge atasema hakupata habari mapema!... jana nilishangaa hata vipindi vya michezo hawakusema hiyo.
Mkuu, kukosa ubingwa inauma kama kufungwa na timu ambayo hata nafasi tatu za juu hajaiweza kupata kwenye ligi ya Vodacom, inauma kweli aisee, tarehe 13 tunaunganishia kwa polisi.Kukosa ubingwa inauma!!!
[h=2]2: 0[/h]hawa polisi dom wana dhambi kweli kweli .. yaani wamemvua yepo yepo chu** mbele ya wabunge. dah!! lahaula lakwatiWenye wivu na wajinyonge,aliwahi kuimba yue dada wa kihaya.
Kubali tu mmepigwa, hamkuona mabingwa wenzenu wa uingereza walivyoisasambua timu ya Ngasa, kama una uwezo una uwezo tu haijalishi mechi ya kirafiki au ya kushangilia ubingwa, angalau polisi wamewaziba mdomo, jana nilishangaa hata vipindi vya michezo hawakusema hiyo.
Yaani mi nawashangaa sana Simba
Yaani kweli eti mechi na Polisi Dodoma ndio kipimo kwa Yanga??
Man Utd wao walikuwa wanajaribu wachezaji wapya, na wapo USA kwa ziara za mechi mbalimbali.
Yanga wameenda dodoma kwa Mwaliko wa Wabunge wanaoipenda Yanga, hivyo wakaona watoe fursa kwa wakazi wa dodoma pia waone kombe la Yanga la Kagame.
Lakin sina haja ya kuongea saaaana
Makuse na Ivuga tukutane Aug 13
Sisi tunamtaka Mnyama tu, maana ndio teja letu
hahah walizidiwa nguvu na kiwangooo\hahaha haha haha, Mkuu kipigo cha polisi kimekuchanganya mpaka unanibatiza jina, hii sio name calling kweli? mimi ni Masuke sio Makuse ile umezingatia herufi zote zipo, tarehe 13 noma tutaenda hadi penati, au kina Asamoah na Kiiza hawana work permit waliogopa kuifunga Polisi wanaweza kuchomewa utambi kwa ndugu zao wa uhamiaji, maana Polisi na Uhamiaji dugu moja.
hongera sana polisi dom nawapenda sana na msishie hapa[/QUOTE said:Safi kabisa Polisi Dodoma hakikisheni mnamfunga na Simba pia, msiishie kuwafunga tu hao Yanga.
Kwa kweli mtani ni lazima muichukie Yanga kwa kuwakosesha ubingwa(wa VPL na wa CECAFA)......Yaani unashangilia Yanga kufungwa na Polisi!!!!!...lol....Btw, matokeo yalikuwa ni Polisi Tanzania 2:1 Yanga na si 2-0 kama ulivyokurupuka2:0teh teh