Seems Sukumar gang haikuridhika na siasa ya Mama Samia ya kuachana na Ile Biashara ya ununuzi wa watu kwa visingizio vya ''kuunga mkono juhudi''. Ameingia tuu Makonda taratibu tunaanza kusikia flani karudi CCM. Utapeli wa Hali ya juu.
Mjane wa aliyekuwa mwanasiasa maarufu wa upinzani wa miaka mingi, Augustine Lyatonga Mrema leo amerejea CCM kwenye mkutano wa katibu mwenezi wa chama hicho, Paul Makonda. Doreen Mrema amekadhi kadi ya chama alichokuwa awali na kuchukua kadi ya CCM.