#COVID19 HAI: Watumishi watakiwa kuridhia Kupatiwa chanjo ya CORONA

#COVID19 HAI: Watumishi watakiwa kuridhia Kupatiwa chanjo ya CORONA

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Barua inajieleza[emoji116]
IMG-20211105-WA0000.jpg
 
Hii wilaya ya Hai ndio hii ambaye aliyekuwa mbunge na aliyekuwa mkuu wa Wilaya wote wanahaha mahakamani?

Hii Wilaya inahitaji maombi...
 
Hii wilaya ya Hai ndio hii ambaye aliyekuwa mbunge na aliyekuwa mkuu wa Wilaya wote wanahaha mahakamani?

Hii Wilaya inahitaji maombi...
Hii wilaya Ina matatizo mengi sana[emoji848]
 
Yaani Walimu nchi Hii wanaonewa sana.
 
Hii barua imekaa kimtego Sana.
"....lakini pia wanatakiwa kuhakikisha wanaridhia wanapatiwa chanjo..."
 
Hiyari yenye ulazima ndani yake..kunasiku itafika hakuna kazi kama hujachanjwa hizi safari za mama zinaenda kuleta hii masuala soon.

#MaendeleoHayanaChama
Mi mwnyw naliona Hilo, Ila naamini litapita TU maana hata uko ulaya watu wamrelax sahv.

Tishio la Corona sio Kama kipind kile Cha mwanzo
 
Mi mwnyw naliona Hilo, Ila naamini litapita TU maana hata uko ulaya watu wamrelax sahv.

Tishio la Corona sio Kama kipind kile Cha mwanzo
Wazungu hawavai tena barakoa, juzi walikuwa wanamshangaa mama yetu Samia kavaa barakoa utadhani Ninja...
 
-"Uhuru wa kuchagua ni wa kuheshimiwa kuliko umiliki wa mali na hazina yeyote juu ya dunia"

-"Pasipokuwa na uhuru wa kuchagua hakuna ubunifu,pasipo ubunifu hakuna maisha"

-"Uhuru maana yake haki ya kuchagua" ukiitazama nembo ya taifa inasema uhuru na umoja baadhi ya viongozi wamedhamilia kuharibu maana ya nembo hii" Kushinikiza watu kufanya jambo bila hiari yao ni sawa na kuchanachana nembo ya taifa ambapo kosa hilo ni kubwa.

-Napendekeza Viongozi wanaoshinikiza watu juu ya Corona wasitumie nembo hiyo ya uhuru na umoja katika hizo barua.
 
Wapeleke orodha ya watu waliopata Chanjo na watu ambao hawajapata Chanjo.
Ni hatar sana
Kutakuwa na Sensa ya Chanjo inayofanyika kimya kimya
 
Back
Top Bottom