-"Uhuru wa kuchagua ni wa kuheshimiwa kuliko umiliki wa mali na hazina yeyote juu ya dunia"
-"Pasipokuwa na uhuru wa kuchagua hakuna ubunifu,pasipo ubunifu hakuna maisha"
-"Uhuru maana yake haki ya kuchagua" ukiitazama nembo ya taifa inasema uhuru na umoja baadhi ya viongozi wamedhamilia kuharibu maana ya nembo hii" Kushinikiza watu kufanya jambo bila hiari yao ni sawa na kuchanachana nembo ya taifa ambapo kosa hilo ni kubwa.
-Napendekeza Viongozi wanaoshinikiza watu juu ya Corona wasitumie nembo hiyo ya uhuru na umoja katika hizo barua.