Habari za hapa wana jamii?jamani wanajamii wenzangu,mm kwa muda mrefu natafuta mke kupitia hapa jamii lakini imekuwa kasheshe kubwa kwangu,kila mwanamke ninaekutana nae,anataka niwe na mjengo na nisiwe na watoto,kweli kupata mke kupitia hapa jamii imekuwa ngumu sana kwangu,kila mwanamke anataka niwe na mambo mazuri,kwasasa nina miaka 42,tangu nikiwa na miaka 37,nimeanza kutafuta mke lkn kila nifanyae mazungumzo ana malengo yake ya kumlaisishia maisha yake na sio malengo ya mume,kama ushauri upo poa nasubiri PM au email adres fastafastah@ovi.com