Na ccm NI ya wasukuma sio...CHADEMA ni ya Wachagga na watu wa Kaskazini. Nyie wa Singida anzisheni chenu. Mwamba hawezi kukubali kuwaachia mali ya familia.
Jambo jema ilikuwa kuwasagia kunguni kigaila na mwalimu...watoke kamati kuu...wakishatoka mbowe ajitoe kwenye uchaguzi....ingemake sence ...Sasa hivi inabidi aendelee.na.kampeni afike mwisho ashinde au ashindwe...si ndio democrasia kuchaguliwa kwa.kura...akishindwa aandae hutuba moja ya kuvunja makundi na kazi iendelee..