Anaogopaa angekuwa amevaa nguo za heshima asingeogopa hapo tatizo yupo nusu uchi na kuna watu wanamfahamu ndo mana kaamua kuficha uso.Hivi msichana kupendwa ni mpaka avae vinguo vya ajabu? akivaa gauni lake au suruali yake isiyombana au sketi ndefu ya heshima hatapendwa?dada zetu punguzeni kuiga.mavazi mara nyingi humwelezea mtu alivyo mtabaki kulalamika hamna bahati ya kuolewa.wanaume wameshtuka.mtabaki vyombo vya starehe then wanawatosa.