Haiba ya mwanakwe ni kuona aibu

Kwa wanaume - hivi utakapofungua picha kama hii ukute ni mkeo/dada yako/Girl Friend wako, utareact vipi?

Kwa wadada - hivi ukijikuta ni wewe mwenyewe live utareact vipi?
he he poa tu si unakua selebrity wa JF bana,usitukate stimu
 
Mnao sema ohoo vidoti kwenye mapaja mlita awe amejichubua na mikorogo kibao?
 
mwenye aibu havai nguo fupi hivyo hata siku moja...ahsanteni
 
Mianamke mingi ya siku hizi wala haina aibu.
Hata wakati wa majamboz anakukodolea tu, mzee unajinyosha anakuenjoy tu, unamaliza anakuangalia tu, halafu anamalizia kwa kusema ' mi bado nataka'
 
wasabato masalia na mujahidina utawajua tu.
Hata soda kwao ni anasa.
 
Kwa wanaume - hivi utakapofungua picha kama hii ukute ni mkeo/dada yako/Girl Friend wako, utareact vipi? Kwa wadada - hivi ukijikuta ni wewe mwenyewe live utareact vipi?

Ujue mkeo/Dada yako/Girl Friend wako hana nidhamu na kama mmeshirikiana kununua nguo hizo na wewe wale wale na kama ni wewe mwenyewe aibu zako mwenyewe
 
Aibu gani aone mtu kavaa kimini hivyo? afadhali angevaa bai bui
 
mmh!!! mwenyewe kakaa kwenye kigoda.......paja hihaa!! lakini makovu kwenye magoti!! duh!


nadhani wakati yuko mtoto alikuwa anapanda miti ya mizambarawe hayo makovu ni kasheshe tupu..ila kasket nako matata kweli kweli
 
mnamtakia nini..muacheni ale in peace jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…