kanuni ziko wazi unatakiwa kuoamba kabla ya siku 7 za mchezo jkt waliomba lini? huwezi omba kubadili uwanja kwa masaa 24 kabla ya mchezo kanuni ziko wazi.Tff waache uhuni, Jkt Queens waliomba kuhamisha mechi zao,
JKT uwanja wao wa nyumbani ni Isamujo sio chamazikanuni ziko wazi unatakiwa kuoamba kabla ya siku 7 za mchezo jkt waliomba lini? huwezi omba kubadili uwanja kwa masaa 24 kabla ya mchezo kanuni ziko wazi.
kanuni ziko wazi unatakiwa kuoamba kabla ya siku 7 za mchezo jkt waliomba lini? huwezi omba kubadili uwanja kwa masaa 24 kabla ya mchezo kanuni ziko wazi.
Uwanja ulifungiwa na hakukuwa na taarifa ya kufunguliwa.JKT uwanja wao wa nyumbani ni Isamujo sio chamazi
Huu uhuni wenu wa kibwege kafanyieni wajinga now kila mtu anajua janjajanja yenu,mikia na tff lenu moja,sasa kama mwenyej ni jkt alieulipia uwanja wa chamaz ni nani?Uwanja ulifungiwa na hakukuwa na taarifa ya kufunguliwa.
Pre match meeting imefanyika kwa makubaliano ya pande zote mbili kuwa mechi ingechezwa chamazi.
Kama hawakuwa tayari kwa nini hawakuwa wazi kwenye kikao?
Huu ni uhuni
Walikubaliwa?Tff waache uhuni, Jkt Queens waliomba kuhamisha mechi zao,
Na wewe acha uhuni/kudeka sio kila unachoomba lazima upewe,acha tabia za kilastbornTff waache uhuni, Jkt Queens waliomba kuhamisha mechi zao,
Kwahiyo aliyelipa gharama za kukodi uwanja wa Chamazi ni TFF au Simba Queens? Mbona kama kuna hali ya ubabaishaji hapo?Uwanja ulifungiwa na hakukuwa na taarifa ya kufunguliwa.
Pre match meeting imefanyika kwa makubaliano ya pande zote mbili kuwa mechi ingechezwa chamazi.
Kama hawakuwa tayari kwa nini hawakuwa wazi kwenye kikao?
Huu ni uhuni
Kwanini simba isicheze kwenye uwanja wa JKT mwenyejiWanasema sababu za kiusalama Azam wanashindwa kuchukua matangazo vizuri. Hivi kama JKT walichezea Azam Complex shida ingekuwa wapi maana ni neutral ground. Au wangekuja kusimama tu wao wasingecheza? Naona wameleta taharuki ya kiUtopolo
Labda ni bureKwahiyo aliyelipa gharama za kukodi uwanja wa Chamazi ni TFF au Simba Queens? Mbona kama kuna hali ya ubabaishaji hapo?
Chamazi wanacheza bure viingilio hakuna na mpira wenyewe kwenye tv ni hisaniKwahiyo aliyelipa gharama za kukodi uwanja wa Chamazi ni TFF au Simba Queens? Mbona kama kuna hali ya ubabaishaji hapo?