Duh! Si mchezo.Acha ujinga wewe yaani ukaweke mimavi yako pale bure, usitumie maji etc na huyo atakayekuwa anakuflashia uchafu wako analipwa na nani na baadaye kinyesi chako kikijaa nani atagharamia kuzoa , muwe na akili wakati mwingine vinginevyo ungeenda kuishi porini huko na ngedere ukijiskia kuhara unahara tu popote hata usipotawaza safi tu eboh!
Umemaliza thread closed tena hapo chini ungeandikaBaki na mavi yako ukanye nyumbani
Heheh, although nakubali watu wanaotumia usafiri wa ndege kidogo Wana tofauti na wanaotumia usafiri wa basi, lakini haifanyi kwamba wote wanafanana kwa maana ya wote wanaopanda ndege kwamba nao ni wastaarabu au wanaopanda mabasi kwamba sio wastaarabu.unadhani airport wanakwenda wale ndugu zako wanaokwenda hata kuoga kutokana na kukosa maji huko uswahilini
This is what I'm talking about, angalia kwenye malls tena mhudumu anasafisha kila baada ya dakika kadhaa huwezi kukuta choo kichafu. Sasa public toilets unataka isafishwe Mara moja kwa siku hiyo haiweyhata nyumbani tu mkizidi watu watatu au zaidi lazima choo isafishwe Mara kadhaa kwa siku.Wanaposema umasikini ni pamoja na huduma ya choo kuilipia harafu vyoo vingi unakuta bado vochafu tuu inatakiwa kuwe na vyoo ambavyo viko chini ya majiji au halmashauri watu wanavitumia buree kabisa...mbona hamjiulizi kwa nini kwenye mall zote huwezi kukuta huduma ya choo ya kulipia hao wawekezaji huko walikotoka hiyo mambo haipo na vyoo vyao ni visafi kwa kuwa wapo watumishi kwa ajili ya hiyo tuu...
Sina hakika kama umemuelewa mtoa mada.Chukulia mfano huu,Mtu ameenda kumpokea mgeni wake stendi,Akalipa shilingi mia tatu kuingia ndani ya stendi.Akiwa mle ndani akahitaji kwenda haja,ilitosha ile fedha aliyolipia mule ndani apate hiyo huduma bila kupazimika kulipia tena.Acha ujinga wewe yaani ukaweke mimavi yako pale bure, usitumie maji etc na huyo atakayekuwa anakuflashia uchafu wako analipwa na nani na baadaye kinyesi chako kikijaa nani atagharamia kuzoa , muwe na akili wakati mwingine vinginevyo ungeenda kuishi porini huko na ngedere ukijiskia kuhara unahara tu popote hata usipotawaza safi tu eboh!
Sasa hayo mawazo yako ndo ya kimasikini, unadhani mabepari ndo hela zao zinachezewa kirahisi!!?Akili za kimasikini Sana hizi, Tsh 200-300 tunapiga kelele, ulimwengu wa kibepari hautaki kulia Lia, pambana tafuta hela
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio kwa matusi; watu wanahitaji hojaAcha ujinga wewe yaani ukaweke mimavi yako pale bure, usitumie maji etc na huyo atakayekuwa anakuflashia uchafu wako analipwa na nani na baadaye kinyesi chako kikijaa nani atagharamia kuzoa , muwe na akili wakati mwingine vinginevyo ungeenda kuishi porini huko na ngedere ukijiskia kuhara unahara tu popote hata usipotawaza safi tu eboh!
Tembea na choo chako !! Mlitakiwa mjengewe vya kwenu visivyo na uangalizi, sidhani kama mngeingia kwa uchafu ambao mngeukuta huko. Piga picha huko nyuma kabla ya vyoo vya kulipia kuanzia hali ya usafi ilikuwaje.Tumekuwa na utaratibu wa kulipia huduma ya choo katika masoko yetu, stendi za mabasi nchini.
Mimi nimekuwa najiuliza saana kuhusu utaratibu huo.
Mbaya zaidi, ni pale hata wafanyabiashara au wenye ofisi maeneo hayo wanalazimika kulipia huduma hiyo.
Inafahamika Wenyee shughuli zao katika sehemu hizo wanalipia Kodi. Wanaopata huduma sehemu hizo wananunua na kukatwa Kodi, iwaje Tena watu haohao walipishwe huduma ya choo tena?
Ukifungua shule au Zahanati, au Mgahawa nk, usipokuwa na choo unafungiwa siyooo? Kwanini mantiki hiyohiyo isitumike katika sehemu za huduma.
Halmashauri, Miji na Majiji huku sio kutoza kitu kimoja Kodi zaidi ya moja kwenye huduma moja!.
Madiwani na watunga mipango liangalieni Hilo, linadhalilisha wasiokuwa nacho na linaongeza uchafu sehemu hizo.
Tatizo sio kutoza pesa ndo vyoo vinakuwa visafi,la hasha ana maanisha unapoingia kwenye terminal pesa unayotoa kuingilia ndo inatakiwa kucover huduma km hzo za choo...Gharama ya usafi na maji atalipia nani?.
Nionavyo mimi ni bora huduma ya vyoo ikitolewa na watu binafsi kama sasa - ili kuwe na unafuu katika usafi. Taasisi za umma zikiendesha vyoo yamkini kubwa ni kwamba usafi utakuwa janga.