Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Haijalish ni kwa namna gan uhusiano wenu ulivyoanza na haijalish mlikutana wapi hata kama mlikutana facebook, inster au jamii forum
Hakuna uhusiano ambao ni mkamilifu lazima mtazozana kwa maneno au kwa vitendo, lakin kuzozana huko hakufanyi kuonekana kuwa hampendan japo msiwe mnazozana kila siku, kuzozana kila siku kwa wanandoa sio poa kabisa
Fanya mambo haya kudumisha upendo wenu
MAWASILIANO
UAMINIFU
KUSAMEHE
JITAMBUE
UWE MCHANGAMUFU
CC MBITI
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app