Sijaelewa waweza fafanua hapo japo kidogoMahusiano hayana kanuni ila hayo mambo nayo ni muhimu sana.....
Unakataa wakati wataka papuchi ya mbiti[emoji12] [emoji12] kwanza ushalipa ada ya step children[emoji23] [emoji23]
Zaman sana mkuu watoto hawadaiwiUnakataa wakati wataka papuchi ya mbiti[emoji12] [emoji12] kwanza ushalipa ada ya step children[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Atakuja awe mkweli
Nilichojaribu kukisema ni kuwa mahusiano hayana kanuni (formula) moja inayoeleweka kusema kila mtu akiifuata hiyo hatopata matatizo ila mambo uliyoyaandika yanasaidia sana kuimarisha mahusiano na kuyafanya yadumu.
Poa kwanini unaonekana kuwa na mambo ya kike kike sana maana hata coment zako zimekaa kidemu demu sanaAtakuja awe mkweli
DJ sepetu
tangu 1/9
[emoji23] [emoji23] we ke..ngePoa kwanini unaonekana kuwa na mambo ya kike kike sana maana hata coment zako zimekaa kidemu demu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa safi sana mkuu lakin kwa maelezo yako hapo juu kwa jinsi yalivyo nyoka unaonekana wewe ni mhengaNilichojaribu kukisema ni kuwa mahusiano hayana kanuni (formula) moja inayoeleweka kusema kila mtu akiifuata hiyo hatopata matatizo ila mambo uliyoyaandika yanasaidia sana kuimarisha mahusiano na kuyafanya yadumu.
Hahaaaaaaa! Usinichekeshe ndugu mie kijana wa miaka ya tisini sina uhenga wowoteAhaa safi sana mkuu lakin kwa maelezo yako hapo juu kwa jinsi yalivyo nyoka unaonekana wewe ni mhenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia ulikua mjumbe wa mazungumuzo ya acacia vp mliishia wap au selikal tumelazwa chalitangu 1/9