Tulia na mkeo!Mwache dada wa watu nae apate wake!
Wewe unaweza kuusemea moyo??Halafu umeoa??
Sasa si umuache tu na yeye aolewe?
Siyo uharibifu kwani mimi nayeye hatukuwahi kugombana naninajua tulikuwa tunapendana kwa dhati lakini hapa napale nikajikuta nipo magharibi yeye yupo mashariki!!huo utakuwa uharibifu kaka!! muache binti wa watu usitake kumuumiza moyo wake!! inavyoonyesha ww tayari una mke.
Moyo tatizo wewe siunajua kupenda mimi nadhani hutakiwi kuelezwa kwani unajua imekaa vipi!!!Tulia na mkeo!Mwache dada wa watu nae apate wake!
Dini yangu ni wajuaji unaruhusiwa mke mmoja tu!!nanimpaka kifo kiwatenganishe huo siufisadi wa warumi???Kama dini yako inaruhu ongeza mke wa pili
Kuna wakati inabidi kuishi kwa kuamua na sio kufuata moyo unataka nini...Wewe unaweza kuusemea moyo??
Siyo uharibifu kwani mimi nayeye hatukuwahi kugombana naninajua tulikuwa tunapendana kwa dhati lakini hapa napale nikajikuta nipo magharibi yeye yupo mashariki!!
Moyo tatizo wewe siunajua kupenda mimi nadhani hutakiwi kuelezwa kwani unajua imekaa vipi!!!
Dini yangu ni wajuaji unaruhusiwa mke mmoja tu!!nanimpaka kifo kiwatenganishe huo siufisadi wa warumi???