Haya ndio matatizo ya kujifanya oooh wife material na huruma za hapa na pale. Yaani mtu anamwacha mwenzake anaempenda tu kwa sababu hana vigezo anavyofikiria yeye vya wife material. au anamwonea tu huruma mtu fulani,tulia nae huyohuyo mwache na yeye atafute wa kwake. Ila kama unahisi atakubali kuwa kimada mwambie tu