Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ctc ndio wapi huko mie nataka hizo pisi kaliPisi kali unazikuta CTC, ngoma ipo wakuu kaa chonjo
Pole mkuu, taratibu utazoea tu.Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.
Haijalishi umepania namna gani, Think Twice !! Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,
Msijisahaulishe
Hapa ni swala la jinsi unavyofikiri,,,kama unakula chakula maisha yako yote ili uishi na ARV ni hivyo hivyo.Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.
Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,
UMEME UPO! Msijisahaulishe
Hii kitu ni noma.Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.
Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,
UMEME UPO! Msijisahaulishe
Nilikutana na tako moja la kimataifa....kwenda Ushauri nasaha tukakuta limewaka. Nilisikitika sanaHasa Hawa wamama vijana wengi wamewaka😄😄😄
Wazuri warembo matako makubwa ila sasa jichanganye 😄😄😄😄
CTC zinaingia pisi haswa, ndom muhimu sana.Pisi kali unazikuta CTC, ngoma ipo wakuu kaa chonjo