Haijalishi umepania namna gani, waza mara mbili. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.

Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,

UMEME UPO! Msijisahaulishe
 
Hapa ni swala la jinsi unavyofikiri,,,kama unakula chakula maisha yako yote ili uishi na ARV ni hivyo hivyo.
 
Ujumbe maridhawa kwa jukwaa linaloongoza kwa wasomaji na wachangiaji.

Haijalishi umepania namna gani, Think Twice. Hakuna kitu kinauma kama kumeza dawa za ARV kila siku maisha yako yote,

UMEME UPO! Msijisahaulishe
Hii kitu ni noma.

Ukinywa maji Nyumbani glass yako watu wanaikwepa kwepa.

Mtu akitaka kuiosha anavaa Gloves.

We hii hali isikie kwa jirani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…