Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Xavi,Iniesta,Busquets
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio pair bwana mbona watupiga fix mzeya....sema midfield trio.View attachment 2310067
Xavi,Iniesta,Busquets
🤣🤣🤣 Iniesta alikuwa na style yake moja ya "a shake of the hips and a defender is left trailing"wanapitisha pasi kwenye visigino vya wapinzani wao.
Unaambiwaje labda ujaribu kukaba nafasi unaweza fanikiwa kuliko kujaribu kuzuia mpira unaopigwa na hao wanyama utatengua nyonga.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iniesta alikuwa na style yake moja ya "a shake of the hips and a defender is left trailing"
Eti utategua nyonga🤣🤣🤣🤣Unaambiwaje labda ujaribu kukaba nafasi unaweza fanikiwa kuliko kujaribu kuzuia mpira unaopigwa na hao wanyama utatengua nyonga.
View attachment 2310067
Xavi,Iniesta,Busquets
Ilikuwa hatari sanawanapitisha pasi kwenye visigino vya wapinzani wao.
Inaitwa "La croqueta". Akina Ramos walipata tabu sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iniesta alikuwa na style yake moja ya "a shake of the hips and a defender is left trailing"
Tutaendelea kuwaelimisha kwa nia njema kabisa. Neno sahihi mnalotakiwa kulitimia ni utatu! Mfano unaweza kusema walitengeneza 'utatu mzuri', 'utatu bora kabisa', nk.Utatu mtakatifu.
Fundi huyo anazeeka na utamu wake kama muwa Japan huko.Inaitwa "La croqueta". Akina Ramos walipata tabu sana!
Pirlo na Paul Scholes piga sana pasi ndefu hawa wajinga .We onyesha tu iwekwe wapi mali utakutana nayo hapo hapo ulipoonesha.Vp kuhusu hawa
Vidal
Machissio
Pirlo
Ah umenikumbusha juventus ya antonio conte. Pirlo akicheza kama regista while aturo machissio wakiwa kama shuttling midfielders.Vp kuhusu hawa
Vidal
Machissio
Pirlo