Haikuachi salama!

Naipenda Sana hiyo kitu tatizo harufu yake afu inakufanya ujishtukizie kinomaa... Hata kama watu wako na mambo yao unaona kama wanakuchora kwa mbali vile...

Ila kitu kiko poa baba ake
Noma wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…