Haikuwa rahisi moyo uliniuma mno hatimaye nikaishia njiani, nikamuacha aende lakini leo...

Safi sanaa Ibra umetisha sanaaaa ila Lizi muunganishe tu kibarua chchte haya maisha tu japo apate hata hela ya kula na kununua sabun ya mwanae ila usimrudie tena mtendee wema tu maana tayar hamko pamoja tena kuendelea kumkaxia sanaaa haina maana
 
nimesoma yote....kuna mafunzo mengi ya hawa wasichana.....halafu mkuu achana na pono kuna ukimwi lea watoto wako
 
Safi sanaa Ibra umetisha sanaaaa ila Lizi muunganishe tu kibarua chchte haya maisha tu japo apate hata hela ya kula na kununua sabun ya mwanae ila usimrudie tena mtendee wema tu maana tayar hamko pamoja tena kuendelea kumkaxia sanaaa haina maana
Japo Mimi huwa sipendagi ujinga ujinga

Naomba ibra wa pili mtafutie kibarua Huyo demu for the sake of her kid halafu jikate mazima

Umempa funzo la kutosha

We mtafutie kibarua ajikimu tu yeye na mwanae mengine atajua mwenyewe
 
Kaka kwa huyuDADA ake LIZA ulikuwa unauza mechi condom lazima uliacha kutumia Uongo Ibu wa pili 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…